jsc.go.tz - JSC | Mwanzo

Description: Judicial Service Commission | Tume ya Utumishi wa Mahakama

judicial service commission (2) judicial service commission in tanzania (1) jsc in tanzania (1) www.jsc.go.tz (1) jsc home page (1) tume ya utumishi wa mahakama (1) tume ya utumishi wa mahaka (1) tume ya utumishi wa mahakama home page (1) tume ya mahakama (1)

Example domain paragraphs

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Wakili wa Kujitegemea Bahame Tom Nyanduga (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Musoma alipotembelea kanda hiyo hivi karibuni.

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Wakili wa Kujitegemea Bahame Tom Nyanduga (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Musoma Mhe. Fahamu Mtulya ( wa tatu kushoto) pamoja na viongozi wengine wa Mahakama alipotembelea Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Musoma hivi karibuni.

Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye mafunzo ya siku mbili kuhusu mfumo mpya ulioboreshwa wa kuratibu mashauri (advanced e-case Management) yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Links to jsc.go.tz (1)