Description: Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania ni Taasisi iliyosajiliwa kisheria chini ya sheria ya Societies Act, Cap,337 RE2002 ya mwaka 1954, Malengo makuu ya kuanzishwa kwa Jumuiya hii ni pamoja na kuwaunganisha kwa pamoja Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao katika eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ili kuwawezesha kutoa mawazo na maoni yao kuhusiana na changamoto mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara kwa nia ya kuyawasilisha Serikalini. Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania imekuwa ikishirikiana na Ser
cap (741) jumuiya ya wafanyabiashara tanzania ni taasisi iliyosajiliwa kis (1) 337 re2002 ya mwaka 1954 (1) malengo makuu ya kuanzishwa kwa jumuiya hii ni pamoja na kuwaung (1)
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania JWT - Taifa ndugu Khamisi Livembe (wa pili kutoka kulia) akiwa katika kikao na Chama cha Wahasibu Tanzania TAA
Mkurugenzi wa Habari na Mwasiliano Taifa JWT ndugu Stephen Chamle akiwa katika kiko na TAA kilichofanyika, Juni 11, 2022 jini Dar es Salaam
Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania JWT wakiwa katika na Chama cha Wahasibu Tanzania TAA.