Description: Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) | Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania
commission (1091) hiv (813) aids (707) condom (103) agyw (2) tanzania commission for aids (1) tacaids (1) tomsha (1) zharf (1) national aids commission (1)
TACAIDS website aims at disseminating and sharing of HIV and AIDS information and experience among stakeholders for proper implementation of various programs.You are welcome.Dr. Jerome KamwelaAg. EXEC... Read More
Watumishi wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAID) wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro baada ya kushiriki kupanda Mlima kupitia Kampeni ya Kilimanjaro challenge Against HIV and AIDS 2023
Mhe. George Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu na Katibu Mkuu Dkt Yonaz Jimmy wakimsikiliza Dkt Leonard Maboko Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS alipokuwa anawasilisha Muundo na Majukumu kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, leo jijini Dodoma tarehe 12Machi 2023.