tanzmed.co.tz - TanzMED - Health Information & Decision Support Tools

Description: Elimu & dalili za magonjwa, Afya ya wanawake & watoto, elimu na ushauri wa HIV/VVU, zana za ujauzito, urembo, na ushauri wa kitabibu

Example domain paragraphs

Corona ( COVID-19 ) Elimu ya Ukimwi/VVU Upimaji VVU (Self Test) Vituo vya Dawa (ARV)

Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.

TanzMED ni mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya na IT wa kiTanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii inafaidika kwa kupata maarifa na ushauri juu ya masuala ya Afya.

Links to tanzmed.co.tz (3)